Jumuiko la Mabadiliko ya tabianchi Zanzibar- ZACCA katika utekelezaji wa Mradi wa COFOMA - Community Based Forest Monitoring App , Mradi wa majaribio wa mwaka mmoja ambao unatekelezwa chini ya Ufadhili wa Shirika la DANMISSION. Inaendelea kufanyia tathmini, kuwajenga kiuwezo wanajamii namna ya kuhakikisha wanalinda rasilimali zao kwa kufanya tathmini yakinufu za kila mara.</p><p><br></p><p>ZACCA na jamii ya Mgogoni - Pemba na KISIWA CHA UZI - Unguja wanaonekana katika maeneo ya Mgogoni na Uzi nyeke